Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Eneo: Goba Kulangwa
Uelekeo: 2Km kutoka barabara mpya ya lami ya njia nne kwenda Tegeta
Ukubwa: 400sqm
Hadhi: Skwata
Bei:Milioni 12

Eneo zuri lina barabara nzuri, na Umeme Upo tayari.

Ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unapata.

Karibu: 0742141467

 
Kila la kheri Mkuu kwenye biashara yako
Nalog off
 
Nataka kikubwa zaidi haya nipe maelekezo
 
Nataka kikubwa zaidi haya nipe maelekezo
Vipo vingi sana maeneo ya malamba mawili hadi kifuru

viwanja unapata kuanzia mil 2 hadi milion 20 kulingana na size na quality

0713096076 piga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…