dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Ningekuwa na hela ningechukua hapo mkuu mana manzari inaonekana vizuri sanaKiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa mita 20
Kiwanja kiko juu juu kwenye muinuko mzuri na unayaona manzari yote mazuri ya mji.
Km 3 kutoka bagamoyo road na 1 km kutoka Goba road
Bei 16.5m
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa na hela ningechukua hapo mkuu mana manzari inaonekana vizuri sana
Ningekuwa na hela ningechukua hapo mkuu mana manzari inaonekana vizuri sana
Vp hujaamua kuwambia madalali wakichangamkie fasta ungeuza mapema
Vp hujaamua kuwambia madalali wakichangamkie fasta ungeuza mapema