Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Goba mpakani muhusika ana dharura

Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Goba mpakani muhusika ana dharura

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
kiwanja kipo Goba Mpakni

kina ukubwa wa sqm 1000 yani 40 × 25

bei ni ml 20

kimepimwa ila hakina hati

muuzaji ana dharura hivyo hata kama una nusu bei mnaweza kuandikishana then ukamalizia baadae kiasi kilichobaki.

karibuni sana

mawasiliano

0765 49 45 48
IMG-20200316-WA0004.jpeg
IMG-20200316-WA0002.jpeg
IMG-20200316-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauhakika icho kiwanja ni 15M-17M sema wewe umeweka na ya udalali
Kama yuko serious achukue 15M kwa pamoja leo leo ila tu nyaraka ziwepo zote , serikali za mtaa wawepo na nije na mwanasheria wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nicheki kwenye no angu mkuu tuyazungumze..hakitoharibika kitu
Nauhakika icho kiwanja ni 15M-17M sema wewe umeweka na ya udalali
Kama yuko serious achukue 15M kwa pamoja leo leo ila tu nyaraka ziwepo zote , serikali za mtaa wawepo na nije na mwanasheria wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanja vya kimara
38 kwa 29 milion 12
23 kwa 20 milion 9
Vipo kimara stop over km 1 kutoka lami
Upande wa kulia kutoka mjini
Nichek kwa 0713415537
 
Back
Top Bottom