mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
Yako ya udalali ni ngapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nauhakika icho kiwanja ni 15M-17M sema wewe umeweka na ya udalali
Kama yuko serious achukue 15M kwa pamoja leo leo ila tu nyaraka ziwepo zote , serikali za mtaa wawepo na nije na mwanasheria wangu
Sent from my iPhone using JamiiForums