B badspender1 Member Joined Apr 22, 2014 Posts 74 Reaction score 6 Sep 12, 2014 #1 Kiwanja kinauzwa Goba Mwisho, nusu km kutoka barara kuu ya Goba. Kia ukubwa wa hatua 20 kwa 20. Bei yake Tsh Milioni 3.5 Piga namba 0717097905 Emmanuel
Kiwanja kinauzwa Goba Mwisho, nusu km kutoka barara kuu ya Goba. Kia ukubwa wa hatua 20 kwa 20. Bei yake Tsh Milioni 3.5 Piga namba 0717097905 Emmanuel
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Sep 12, 2014 #2 Weka picha Mkuu
K Kipre cheche Member Joined Aug 26, 2014 Posts 27 Reaction score 1 Sep 15, 2014 #3 weka maelezo yaliyokamilika basi, kimepimwa, umeme, maji. na picha ikiwezekana
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,378 Reaction score 13,198 Sep 15, 2014 #4 Tatizo la goba maji sisi wenye damu baridi kama vyura hapatufai. Vipi mkuu nyoka wamepungua huko?