Mkuu katika tangazo lako umetoa sifa nyingi za eneo, ila sifa ya maji una uhakika kweli yapo au ni lugha tu ya kuvutia wateja?nadhan hata maana ya utapeli hujui.
naona kuwa dalali imekuuma sana mzee.
mtoto wa kiume unatokwa na povu kiasi hichi? hatari sana
naona mtoto wa kiume una tabia za kike,hata mwendawazimu hawezi kumwonea wivu dalali, hasa madalali wa bongo, almost(90%) wanategemea kutapeli wateja ili wapate mlo....miongoni mwao ni wewe...😡😡
hata majirani washindwe kuni inform kweli? na last weekend nilikua hapo
Asante Ndugu. Nusura jamaa atupigeUko ndani ya huo mpango kaka
Ndugu KIWANJA alikiuza mwenyewe na aliyenunua kajenga lotion 1 (ghorofa moja)Asante Ndugu. Nusura jamaa atupige
Lile eneo wengi wanapigwa sanaAsante Ndugu. Nusura jamaa atupige
Mkuu hvi kama manispaa imechukua eneo mfano kama hilo ambalo wamiliki wapo, je hakuna utaratibu wowote wa kuwalipa?? Ukizingatia hawapo kwenye hifadhi ya bara bara?Lile eneo wengi wanapigwa sana
Hata Masaki hapauzwi hivyo!Tsh 26,600 kwa km square moja? Your land must be the most expensive land in Dar city!
Madalali wamepaniki sana awamu hiiHata Masaki hapauzwi hivyo!
Sahivi tuko makini, si malaya wala dalali atakaetoboa wallet kijinga!Madalali wamepaniki sana awamu hii
Mkuu watalipwa ila picha zilishapigwa muda kwa majengo yaliyokuwepo, kama kuna mtu amejenga jengo lake baada ya zile picha hatalupwaMkuu hvi kama manispaa imechukua eneo mfano kama hilo ambalo wamiliki wapo, je hakuna utaratibu wowote wa kuwalipa?? Ukizingatia hawapo kwenye hifadhi ya bara bara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu, shukran pia kwa kutung'ata sikio kuna mtu alikuwa anaenda kutupa milion 16 yake hvi hvi.Mkuu watalipwa ila picha zilishapigwa muda kwa majengo yaliyokuwepo, kama kuna mtu amejenga jengo lake baada ya zile picha hatalupwa