achudochiwetalu
Member
- Nov 14, 2016
- 38
- 19
Kua serious,Kiwanja kiko goba
Njiapanda ya makongo juu kutoka kwenye lami n dakika 10 kwa mguu
Kimepimwa ila hati hakina
Ukubwa ni 40/20
Bei 25m
Piga 0765114158
Acha siasa mkuu hapa hela mteja anaelewa na maanisha nin acha kunijazia comnts zisizo kuwa na tija jarib kutumia mbs zako vizuriKua serious,
Kipimo vya umbali ni kilometa, meta, etc.
Hizo dakika ulizoweka hazitoi picha halisi maana zinategemea na mwendoka kasi ambao hauko Constant
Kukujazia comments kwani we JF yako hii?Acha siasa mkuu hapa hela mteja anaelewa na maanisha nin acha kunijazia comnts zisizo kuwa na tija jarib kutumia mbs zako vizuri
Maeneo gani kule kuelekea kwa Mallya au.Acha siasa mkuu hapa hela mteja anaelewa na maanisha nin acha kunijazia comnts zisizo kuwa na tija jarib kutumia mbs zako vizuri
Wewe ndo wale kula kulala kwa mama hijui maisha nin sio kosa lako ukikua utaacha tu utoto subiri life likufunze use well ur resouses zako mana hujui kuzitumia kubishana n mtu usie mjua n sawa na kubishana naa jini take that and mind ur tme sijakituma usome wala ukomnt sKukujazia comments kwani we JF yako hii?
MBS zangu hazikuhusu,
We utakua umeishia vidudu hujui hata Dakika ni Kipimo cha muda sio umbali
Kula kulala ni wewe dalali hujui hata unatangaza kitu gani,Wewe ndo wale kula kulala kwa mama hijui maisha nin sio kosa lako ukikua utaacha tu utoto subiri life likufunze use well ur resouses zako mana hujui kuzitumia kubishana n mtu usie mjua n sawa na kubishana naa jini take that and mind ur tme sijakituma usome wala ukomnt s