Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.

Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.

Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.

Bei 6 million

mawasiliano 0713096076

0713096076

IMG_20211219_113937_043.jpg

IMG_20211219_113009_909.jpg

IMG_20211219_113004_381.jpg

IMG_20211219_113000_461.jpg
 
Kina nyaraka (documents) gani?
Beacon tayari zilishawekwa bado nyaraka rasmi za Jamhuri ya Muungano hazijafika kwa mmiliki.

Mwenye eneo ni mmiliki rasmi, hakijawahi kuuzwa hapo kabla.

karibu ujipatie eneo zuri la ujenzi wa nyumba, bar, gesti hauz, shule ndogo ya chekechea ama vyovyote utapenda.

maeneo ya Igoma ni very expensive, huyu anauza hivyo tu kwa sababu ya shida iliyomfika shingoni
 
2m nimcheki chap
 
2m nimcheki chap
Kwa hio offer utapata kisesa huko mkuu.

kuna viwanja vingi tena size kubwa sana mpaka 30*40 unapata kwa 2.5mil kisesa kona ya usagara, karibu na lami.

kwa hiki naweza punguza kidogo endapo utanipigia
 
Kama yupo tayari Jumatano nikucheki, kama hayupo tayar kwa hiyo bei sina haja ya kukupigia maana offer yangu ni hiyo.

Ila kumbuka hii ni December chukua hela otherwise watu huenda liki,o ya kufanya manunuzi (hela inakata) hadi April huko ndo hali hulejea msitarini.
 
Asante mkuu hio offer bado iko downstairs.
 
Kwa hio offer utapata kisesa huko mkuu.

kuna viwanja vingi tena size kubwa sana mpaka 30*40 unapata kwa 2.5mil kisesa kona ya usagara, karibu na lami.

kwa hiki naweza punguza kidogo endapo utanipigia
Vipi Buhongwa hakuna viwanja vya ukubwa huu ?
 
Na vipi kati ya Kisesa na Buhongwa, wapi ni superb ?
 
Hivi makazi ya kuanzia pale Usagara hadi Buhongwa... ni uswahilini?

Nina Tsh 4 million nahitaji kiwanja ndani ya Mwanza. Pasiwe uswahilini (mbanano wa makazi holela). Pafikike kwa gari kutokea lami njia kuu.

Cc: Ramon Abbas

Cc: Nijosnotes
 
Mswahili unakataaje waswahili wenzako buana😅😅😅😅

Uswahilini namaanisha maeneo yenye mbanano wa makazi holela.

Mkuu, viwanja vya kwenye 'boot' ni shida. Hata pikipiki haifiki.
 
Maeneo mazuri Kisesa ni wapi maana inasemekana viwanja vinapatikana Isangijo ambako ni mbali sana
Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lami
 
Back
Top Bottom