Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Beacon tayari zilishawekwa bado nyaraka rasmi za Jamhuri ya Muungano hazijafika kwa mmiliki.Kina nyaraka (documents) gani?
2m nimcheki chapBeacon tayari zilishawekwa bado nyaraka rasmi za Jamhuri ya Muungano hazijafika kwa mmiliki.
Mwenye eneo ni mmiliki rasmi, hakijawahi kuuzwa hapo kabla.
karibu ujipatie eneo zuri la ujenzi wa nyumba, bar, gesti hauz, shule ndogo ya chekechea ama vyovyote utapenda.
maeneo ya Igoma ni very expensive, huyu anauza hivyo tu kwa sababu ya shida iliyomfika shingoni
Kwa hio offer utapata kisesa huko mkuu.2m nimcheki chap
Kama yupo tayari Jumatano nikucheki, kama hayupo tayar kwa hiyo bei sina haja ya kukupigia maana offer yangu ni hiyo.Kwa hio offer utapata kisesa huko mkuu.
kuna viwanja vingi tena size kubwa sana mpaka 30*40 unapata kwa 2.5mil kisesa kona ya usagara, karibu na lami.
kwa hiki naweza punguza kidogo endapo utanipigia
Asante mkuu hio offer bado iko downstairs.Kama yupo tayari Jumatano nikucheki, kama hayupo tayar kwa hiyo bei sina haja ya kukupigia maana offer yangu ni hiyo.
Ila kumbuka hii ni December chukua hela otherwise watu huenda liki,o ya kufanya manunuzi (hela inakata) hadi April huko ndo hali hulejea msitarini.
Vipi Buhongwa hakuna viwanja vya ukubwa huu ?Kwa hio offer utapata kisesa huko mkuu.
kuna viwanja vingi tena size kubwa sana mpaka 30*40 unapata kwa 2.5mil kisesa kona ya usagara, karibu na lami.
kwa hiki naweza punguza kidogo endapo utanipigia
Mswahili unakataaje waswahili wenzako buanaπ π π πHivi makazi ya kuanzia pale Usagara hadi Buhongwa... ni uswahilini?
Nina Tsh 4 million nahitaji kiwanja ndani ya Mwanza. Pasiwe uswahilini. Pafikike kwa gari kutokea lami njia kuu.
Cc: Ramon Abbas
Cc: Nijosnotes
kisesa ni kuzuri zaidi kwa sababu ni rahisi kufika katikati ya mji.Na vipi kati ya Kisesa na Buhongwa, wapi ni superb ?
Mswahili unakataaje waswahili wenzako buanaπ π π π
Kwakweli kama unataka kufurahia maisha na familia hapo baadae maeneo ya mbanano sio mazuriUswahilini namaanisha maeneo yenye mbanano wa makazi holela.
Mkuu, viwanja vya kwenye 'boot' ni shida. Hata pikipiki haifiki.
Maeneo mazuri Kisesa ni wapi maana inasemekana viwanja vinapatikana Isangijo ambako ni mbali sanakisesa ni kuzuri zaidi kwa sababu ni rahisi kufika katikati ya mji.
Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lamiMaeneo mazuri Kisesa ni wapi maana inasemekana viwanja vinapatikana Isangijo ambako ni mbali sana