Human Papiloma Virus
Member
- May 20, 2017
- 73
- 168
Huko pm cjui jinsi ya kufika nilikuwa na interest na hicho kiwanja niko mkoa wa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief 20*24 ni kipimo cha mita,,,?Sifa zake:-
Kimepimwa
Ukubwa ni 20*24
Kipo hatua chache kutoka barabara kuu ya kuelekea mtaa wa kahama
Huduma ya maji na umeme vipo jirani tu
Kina msingi wa chumba 2 sebule,choo na bafu
Kuna mchanga pia
Hatua chache kutoka ofisi za manispaa ya Ilemela na ofisi za halmashauri ya wilaya Ilemela
Bei M.5.5 Tsh
Nichek PM tufanye biasharaView attachment 1014857View attachment 1014858View attachment 1014859View attachment 1014860
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua za miguu ,mikono ?Za mtu mrefu au mfupi? Hizo hatua ukizibadili kuwa mita itakua ngapi?
Hatua za miguu ,mikono ?Za mtu mrefu au mfupi? Hizo hatua ukizibadili kuwa mita itakua ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app