Hii inaonyesha haina bei maalumu, jinsi utakavyo jiingiza kichwakichwa ndivo utakamuliwa kilaini!Taja bei basi....
Je ni beach plot????????
Kama wewe ni mwekezaji MAKINI, tafadhali piga simu namba 0786-019019 0786-019019.Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach.
Kiwanja kina uzio wa ukuta wa matofali. Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi ya watu, majengo ya ofisi, kiwanda, shule, na kadhalika.
Kama wewe ni mwekezaji MAKINI, tafadhali piga simu namba
Taja bei basi....
Je ni beach plot????????