Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,142 Reaction score 4,064 Aug 1, 2019 #1 Wakuu kwema? Kaka yangu anauza kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma. Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese. Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni kuvuta tu,maji ndo serikali inaweka mabomba na si mda sana maji ya uhakika yatapatikana.. Kiwanja kinauzwa bila udalali na bei yake ni 1.9 million(1.9M),karibu kwa maongezi na kwenda kukiona.
Wakuu kwema? Kaka yangu anauza kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma. Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese. Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni kuvuta tu,maji ndo serikali inaweka mabomba na si mda sana maji ya uhakika yatapatikana.. Kiwanja kinauzwa bila udalali na bei yake ni 1.9 million(1.9M),karibu kwa maongezi na kwenda kukiona.
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,142 Reaction score 4,064 Aug 2, 2019 Thread starter #2 Bado kipo...karibuni wakuu.
D Danido Member Joined Nov 28, 2015 Posts 53 Reaction score 30 Aug 3, 2019 #3 Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi?
Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi?
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,142 Reaction score 4,064 Aug 3, 2019 Thread starter #4 Danido said: Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi? Click to expand... Umbali ni kama Kilometer 10_15 kufika Dodoma mjini .. Barabara ni hii inayoelekea iringa.nipigie kwa maelezo zaidi.
Danido said: Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi? Click to expand... Umbali ni kama Kilometer 10_15 kufika Dodoma mjini .. Barabara ni hii inayoelekea iringa.nipigie kwa maelezo zaidi.
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,142 Reaction score 4,064 Aug 4, 2019 Thread starter #5 Wahi sasa