Hope all is well oooh..
Tafadhali, husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu...
Kiwanja kina;
-Hati
-Maji
- Umeme
-Nyumba (ya zaman ) anaish anaelinda eneo
PRICE : 80M
Kama upo interested nichek inbox nikupe namba ya owner mtaongea.
Maboss wa JF karibuni, lakini mnikumbuke kidogo kijana wenu.