Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kahama

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kahama

Ayenda M

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
98
Reaction score
132
Eneo la kujenga kituo cha mafuta, hotel au Ukumbi wa Starehe linauzwa.
Location: Kahama
Upana: Miter 70
Urefu Miter 100
Sawa na Square miter 7,000

Bei ya kuuza Mil.125 Tsh.

Eneo linayo number ya kulipia upate hati izo hapo juu ni karatasi za malipo na uhalali wake.
Ukilipia mnunuaji ndo unatoa hati kwa jina lako sio tena kuanza transfer.
Karibu mezani nunua ardhi Kahama kumekucha.

Tucheki 0620275619/0678275619


IMG-20211209-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom