MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 169
Mkuu kiwanja cha bei hiyo afu Tangazo linakua rough namna hii, yani mtu atoe 1.2Bil kwa tangazo lisiloelewek kama hili.?
Bei za Kikwete bado zinatrend?
Unge convert hiyo bei iwe ya awamu hii.
TZS 1.2b bei ya kiwanja. Kweli GAP zipo