MBEBA MAONO KAJA
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 365
- 195
Si nimekuja PM ukaniambia milioni mia tano?Sijataja bei hapo mkuu hiyo milioni Mia tano umeitoa wapi?
Kwa bei na maelewano njoo PM
Kama unabisha. hebu weka bei hapa kama siyo hiyo uliyoniambia.Umevurugwa mkuu.
Relax and take things easy.
Mkuu Vipimo huvijui Square meter 176 maana yake ni hatua 13.5 kwa hatua 13.5 ni eneo dogo sana mafisadi hicho huwa ni chumba kimoja so ni dogo sana halafu unasema vyumba 10 kweli Ujinga si mali kitu.Wanajamii nawasalimu.
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa.
Kiwanja kina hati miliki halali.
Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga nyumba ya vyumba kumi.
Ni eneo linalofikika na huduma muhimu kama umeme zipo. Pia ni karibu hata ukitaka kwenda kariakoo.
Kwa biashara,mawasiliano na maelewano ya bei nicheki PM.