Kiwanja Kinauzwa Kerege

Kiwanja Kinauzwa Kerege

chuvachok

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
73
Reaction score
11
Wana JF nauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba viwili kimefikia linta. Kina ukubwa wa mita za mraba mia saba. Kipo nyuma ya Marian Boys. Mita mian na ishirini toka Bagamoyo Rd. Bei mil ishirini na nane tu. Maji na umeme tele. Piga 0717007164 Masoud.
 
Back
Top Bottom