G guest-1788672427 Guest Aug 15, 2026 #1 Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
G guest-1788672427 Guest Aug 15, 2026 Thread starter #2 Kama mtu akiniletea mteja basi hiyo laki 5 nitampa yeye nitakubali nipate hiyo loss
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Aug 15, 2026 #3 Olivia olivia said: Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba Click to expand... Square mita za mraba Olivia wangu imekaa vipi hiyo. Hii wazungu wanaita tautology! Anyway bei ni nzuri.
Olivia olivia said: Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba Click to expand... Square mita za mraba Olivia wangu imekaa vipi hiyo. Hii wazungu wanaita tautology! Anyway bei ni nzuri.
G guest-1788672427 Guest Aug 15, 2026 Thread starter #4 Retired said: Square mita za mraba Olivia wangu imekaa vipi hiyo. Hii wazungu wanaita tautology! Anyway bei ni nzuri. Click to expand... Sq merter ukubwa wa kiwanja
Retired said: Square mita za mraba Olivia wangu imekaa vipi hiyo. Hii wazungu wanaita tautology! Anyway bei ni nzuri. Click to expand... Sq merter ukubwa wa kiwanja
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Aug 15, 2026 #5 Uzi wa min -me umekwisha pumzishwa 🥺 mjomba kutoka marangu sembeti amefika
G guest-1788672427 Guest Aug 15, 2026 Thread starter #6 Monetary doctor said: Uzi wa min -me umekwisha pumzishwa 🥺 mjomba kutoka marangu sembeti amefika Click to expand... Umemaanisha nini
Monetary doctor said: Uzi wa min -me umekwisha pumzishwa 🥺 mjomba kutoka marangu sembeti amefika Click to expand... Umemaanisha nini
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Aug 15, 2026 #7 Olivia olivia said: Umemaanisha nini Click to expand... Unapa manya marangu sembeti??