Eneo: Kibaha Muheza, mpakani na Kibamba Hondogo – Kwa Kong'wa.
- Ukubwa: Mita 27 × 37
- Bei: TSh Milioni 13.5 (Mazungumzo kidogo)
Faida za Kiwanja:
1. Kiwanja ni tambarare sana.
2. Umeme upo, unashusha waya tu.
3. Maji ya DAWASCO yanapatikana.
4. Gari linafika hadi site wakati wa masika na kiangazi.
5. Barabara ni nzuri na eneo ni tulivu, linafaa kwa makazi au uwekezaji.
Jinsi ya Kufika:
Fika Kibamba Shule, kisha panda bodaboda kuelekea Kwa Kong'wa – Muheza (nauli TSh 2,000).
Wasiliana: 0675 065906