uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
Sawa mkuuNasubiri picha
kikifika 1.5 m nichek chap chapKiwanja kipo kibaha picha ya ndege.
Kipo nyuma ya hospital ya wilaya lulanzi.
Kiwanja kina ukubwa Mita 30 kwa 20
Kutoka morogoro road km 2.
umeme upo apo apo ,wa kuvuta.maji yapo karibu.
Bei milioni tatu na nusu.
Mkuu kina hati?Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege.
Kipo nyuma ya hospital ya wilaya lulanzi.
Kiwanja kina ukubwa Mita 30 kwa 20
Kutoka morogoro road km 2.
umeme upo apo apo ,wa kuvuta.maji yapo karibu.
Bei milioni tatu na nusu.
Zipo za mauziano ya awali ya miaka mingi iliyopitaMkuu kina hati?
Document zipo za awali,za miaka mingi iliyopitaKina Documents gani ?
Sawakikifika 1.5 m nichek chap chap
niunganishe na mwenye maliSawa
Hapana mkuuAchukue 2M, million iliyobaki mwisho wa mwaka.
Pamoja mkuu
Kama kawaidaIt's business as usual in jamii forums
Thanks mkuuAll the best