zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km 5 kutoka barabara kuu ni parefu bora uuze shambaa sio plotKipo kibaha kwa Mathias.
Ukubwa wa squire meter 600
Milioni 3
Umbali km 5 toka morogoro road
Barabara nzuri imewekwa lami ,bado kidogo ikamilike
Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja
0672 893 600
Sio parefu, zipo bajaji 1000 unafika, unakujua jeshini?Km 5 kutoka barabara kuu ni parefu bora uuze shambaa sio plot
Kutoka dar upande wa jeshini sio kwamba kipo jeshiniKwa hiyo kipo jeshini?
Sawa sawa,ungejua hayo maeneo palivyo usingesema hivyo,kiwanja kipo pembeni ya zahanati kubwaBajaji 1000, ina maana boda itakuwa 2000.
Uza shamba siyo kiwanja