Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Unapajua huko Kindege?Msangani sio... Kwenye kambi la Jeshi
Huku kuzuri pia huduma zipo.Unapajua huko Kindege?
Mie sipajui, vipi unaonaje huo umbali kutoka Morogoro road, Bei yake vinaendana?
Huku kuzuri pia huduma zipo.
Labda ni sehem wanajeshi wamejenga sana huku pia kuzuri sana kimazingira.
Hapana mkuu,sio ya wizaraniHati miliki kutoka wizarani
Kuzuri Sana ,mji unaendelea kujua,Barabara ya lami inaendelea kuwekwaHuku kuzuri pia huduma zipo.
Labda ni sehem wanajeshi wamejenga sana huku pia kuzuri sana kimazingira.