uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Zipo za awali za mauziano mkuuMkuu VP kuhusu nyaraka( documents)?
Namaanisha hati ipo?
Juhudi mpaka zahanati kuna umbali gani sasa mpaka kupanda bodaWambie ukweli Tu kuwa bajaji zinaishia juhudi hivyo kutoka hapo mpk juhudi ni wewe utembee Kwa miguu au uchukue boda tena
Asante mkuuAll the best
Ni mita mkuu, viwanja vya Mbagala na Chanika huko ndio wanauzaga Kwa futiMeter 20 kaa 30? Au ft 30kwa futi 20?
Pamejengeka Sana na kuna nyumba pembeni ya kiwanja, ni picha tu ilivyopigwa.Mbona kama hakuna watu waliojenga hapo?
Umeshawahi kufika lakiniKuweni makini Msangani ni maeneo ya JWTZ na Nyumbu
Nisingekuwa na uthubutu wa kusemaUmeshawahi kufika lakini
Hata mgeni akifika eneo la Jeshi linajulikana mkono wa kulia kuanzia nyumbu mpaka Msangani na linaonekana, hata raia hauwezi mkuta kasogea, na upande wa raia unaonekana, hata Kwa kuangalia kwa macho tu.Nisingekuwa na uthubutu wa kusema
Za wizara au za kuandikishana tu kwa Serikali ya Mtaa?Zipo za awali za mauziano mkuu
Za serikali za mtaa, za wizara na bei yake ingekua juu zaidiZa wizara au za kuandikishana tu kwa serikali ya Mtaa?