The mgusi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 221 Reaction score 446 Aug 22, 2024 #1 Kiwanja ni tambarare Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045 Mawasiliano for serious buyer 0692450861 Umbali toka Feri ni km 19 Price - 12,000,000/= Negotiable.
Kiwanja ni tambarare Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045 Mawasiliano for serious buyer 0692450861 Umbali toka Feri ni km 19 Price - 12,000,000/= Negotiable.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Aug 22, 2024 #2 Mbona hizo square mita 1045 hazipo hapo kwenye ramani?
The mgusi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 221 Reaction score 446 Aug 22, 2024 Thread starter #3 Covax said: Mbona hizo square mita 1045 hazipo hapo kwenye ramani? Click to expand... Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu.
Covax said: Mbona hizo square mita 1045 hazipo hapo kwenye ramani? Click to expand... Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Aug 22, 2024 #4 The mgusi said: Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu. Click to expand... Kipi na kipi au unaunganisha vyovyote unavyo taka.
The mgusi said: Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu. Click to expand... Kipi na kipi au unaunganisha vyovyote unavyo taka.
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 Aug 22, 2024 #5 The mgusi said: Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu. Click to expand... Installment inaruhusiwa?
The mgusi said: Ni viwanja viwili hivyo vinauzwa kwa pamoja each ni square meter 500. Jumla 1000. Vilivyozungushiwa alama nyekundu. Click to expand... Installment inaruhusiwa?
nzaghamba JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,212 Reaction score 1,431 Aug 22, 2024 #6 Vina hati gani ya leseni ya makazi au hati ya wizara (tittle deed)?
The mgusi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 221 Reaction score 446 Aug 23, 2024 Thread starter #7 Covax said: Kipi na kipi au unaunganisha vyovyote unavyo taka. Click to expand... Hivyo vilivyozungushiwa rangi nyekundu vinauzwa kwa pamoja .
Covax said: Kipi na kipi au unaunganisha vyovyote unavyo taka. Click to expand... Hivyo vilivyozungushiwa rangi nyekundu vinauzwa kwa pamoja .