Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Block 23

Family_hammer

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
29
Reaction score
12
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1828, Kibada block 23 -Kigamboni. Kinafaa kwa shughuli ya biashara, makazi n.k.
Bei ni 110 M. Maelewano yapo. Mawasiliano 0713629999
 
enhe, kibada kama masaki mwanangu, maisha yanakwenda kasi sana.
 
Duh hapo napata V8 lang naenda jenga nyumba yangu safi chamanzi maisha yanaenda.....
 
Sqm moja shilingi elf sitini? Aisee kweli vyuma havijakaza kabisa!!
 
Hiyo bei ni utani, Kibada sio mjini kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…