Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisarawe 2 Miguu 25*30

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
628
Reaction score
731
Kiwanja kizur kipo location nzuri.
Kima miguu 30*25
Bei milion 10 maongez yapo kidogo
Call 0718 606739
0685 752509

Miguu inatofautiana ukubwa kati ya mtu mrefu na mfupi. Ukiwa unatangaza bidhaa kama hizi tumia kipimo cha mita ndo kipimo kisichobadilika.
 
Miguu inatofautiana ukubwa kati ya mtu mrefu na mfupi. Ukiwa unatangaza bidhaa kama hizi tumia kipimo cha mita ndo kipimo kisichobadilika.
Kipo kiwanja cha mita 12 kwa 10 mbezi beach afrikana njoo na 3.7mil tumalize biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…