Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga & TFF)
Hakina mgogoro wote na hakina dalali, nicheki direct 0715002270! Bei ni milioni 20.