M Makazi New Member Joined Nov 24, 2020 Posts 3 Reaction score 7 Nov 30, 2020 #1 Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents Kina hatimiliki. BEI : Milioni 80m(FIXED)
Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents Kina hatimiliki. BEI : Milioni 80m(FIXED)
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Nov 30, 2020 #2 Umbali hupimwa kwa vipimo vya Mita au Kilomita. Dakika ni vipimo vya muda, sio umbali.