Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma (Kituo funcity) mtaa wa malela kipo jirani na nyumba ya karoti.
Ukubwa Meter 26.5 * 20
Kina slope upande mmoja haiathiti ujenzi wako.
Bei milioni 6 (Neg Kidogo)
MAHITAJI MUHIMU
Umbali kutoka barabara ya lami ni Kilometa 1.
Barabara za kuingia kiwanjani zimetengwa kimtaa, ziko mbili.
Bomba la maji limepita nje ya kiwanja.
Nguzo ya umeme ipo meter 60 kutoka kiwanja kilipo.