asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Kila la kheri MkuuKipo kaka 0717727504 nitafute ukakione
Ofa nzuri mwisho 16Kula 10m net! Iko hapa mfuko wa shati la draft mikono mifupi mkuu!
SawaOfa nzuri mwisho 16
Mkuu ikifika 13 Njoo PMOfa nzuri mwisho 16
Ofa nzuri sana kaka ila ukubwa wa kiwanja eneo kilipo na kwa kuwa tayari kimepimwa na kina hati, haiwezi kuwa chini ya 16Ipo 10 million cash bila maneno
13M Ukifika nishtueKiwanja bado kipo leteni ofa
Fika 15 bosi pia ikifaa uje kiwanjani ni vizuri neg zikifanyika poa uone kiwanja maana ni kafibu na robk heka hiki13M Ukifika nishtue
Mkuu kama unachukua Hiyo nije PM kwa info zaidiFika 15 bosi pia ikifaa uje kiwanjani ni vizuri neg zikifanyika poa uone kiwanja maana ni kafibu na robk heka hiki
15? Nicheki bosi 0717727504 chini ya hapo hapana kakaMkuu kama unachukua Hiyo nije PM kwa info zaidi
Ni kizuri....kuhusu bei mtaelewana na watejaNauza kiwanja kipo Toangoma Malela
Ukubwa sqm 800 (40×20)
Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90
Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi.
Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity)
Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea.
Bei Tsh Milioni 18 (Neg)
0717727504
Ni sahihiOfa nzuri sana kaka ila ukubwa wa kiwanja eneo kilipo na kwa kuwa tayari kimepimwa na kina hati, haiwezi kuwa chini ya 16
Ni kongowe hii kutoka Mbagala tunazama bondeni na kuinukia juu kuelekea Mkuranga sio?Kiwanja kipo bado wale walioniahidi kesho wanakuja tuwasiliane