Nauza eneo (ekari moja) Milioni 12 ,Ila naweza kukata viwanja vya 35*35 kwa 3 milioni . Kiwanja kipo lingato kigamboni. Kama unatoka ferry kwenda kongowe kituo Ni fundi baiskeli halafu unachukua boda. Au Kama unaenda mwasonga Ni nyuma ya kiwanja Cha oilcom. (Price is negotiable)