Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
hapana sio kweli usipotosheUnaujua umbali WA km 30??.....ni sawa na kutoka kkoo kwenda mbagara rangi tatu mara mbili na nusu na hiyo ni kwenda Tu bado kurudi...
Kutoka kkoo mpaka mbagara ni km 12 au 13.......hapana sio kweli usipotoshe
Kiwanja kipo Kigamboni Puna
picha ya kiwanja unamaanisha!?