Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

My hair my crown

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2016
Posts
898
Reaction score
2,478
Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku.
Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo.
kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077
+255713392367
 

Attachments

  • 20241103_115443.jpg
    20241103_115443.jpg
    2.1 MB · Views: 5
Mkuu weka tangazo lako vizuri.

Natafakari tu nauli ya buku na kiwanja cha 14 Million.
 
Mbona kama kinaoneka kina kichuguu kati kati hapo.
All the best
 
Kiwanja chenyewe hicho hapo maboss, ukikielewa kwenda live kuona inawezekana
 

Attachments

  • 20241103_115504_001.mp4
    73.1 MB
Back
Top Bottom