Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuulizie kwa majirani zangukama una cha 40 kwa 40 nitafute
Mbele yakeKabla hujafika kwa sumaye au mbele yake
Aliposimama mpiga picha nyuma yake ndio kuna nyumba chacheBe the 1st to build. Kwenye hilo eneo sioni nyumba hata Moja!
acha ujanja , weka picha la sivyo hakuna nguzo za umeme ayo maeneoViwanja vimekatwa kwa mitaa, kuna barabara ndio zimepita nguzo, kiwanja hadi nguzo haizidi mita 30,
Mteja ataamini pindi akifika sites
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Nitaweka mkuu hio picha, nishamuomba mwangalizi wangu apige tena picha vizuriacha ujanja , weka picha la sivyo hakuna nguzo za umeme ayo maeneo