Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kimara B Dar es Salaam

Maulid jnr

Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
66
Reaction score
60
Habari ndugu, nauza kiwanja kipo maeneo ya mji mpya kimara B dar es salaam maarufu "kwa senga"
Kiwanja hakiko square hivyo urefu na upana hauko sawa . Kwa urefu upande mmoja ni 63ft na mwingine ni 57ft , upana upande mmoja ni 55ft na mwingine 44ft.
Kiwanja kimejengewa fence na kuna nyumba ndogo "chumba kimoja" moja na mabanda ya kufugia kuku. Kuna karo la maji taka tayari. Umeme na maji viki karibu sana na kiwanja.

Eneo limejengeka na barabara zipo hadi site.

Bei milioni 18 "maongezi yapo "

Nicheki kwa namba hii kwa maelezo zaidi asante

























 
Nicheki kwa namba hii 0783150130 kwa maelezo zaidi asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…