Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Ahaahaahaa blaa blaa kibaoSema kina Ukubwa gani mangi, wachana na maneno mingi...
Mwenye macho, haambiwi tazama.Sema kina Ukubwa gani mangi, wachana na maneno mingi...
Kiwanja kipo Songas Road. Mbele kidogo ya Songas Power Plant.Kwa mpemba,msikitini,mtaa wa kwa wachaga au kwa limbanga?
Ndio hiyo mitaa nimekutajia iko mbele ya songas power plant,Sasa ni mtaa upi Kati ya hiyo?Kiwanja kipo Songas Road. Mbele kidogo ya Songas Power Plant.
Kiwanja kipo very far from that place. Na eneo wanalotoa fidia si eneo hilo. Ni mbali sana, nyuma ya power plant. Upande niliopo hawawezi kuongeza eneo hata kama wakitaka maana njia kuu ya gridi ya taifa itawazuia kufanya hivyo.Sio kwa ubaya lakini " nimesikia sina uhakika" kuwa TANESCO wanataka kulipa fidia maeneo ya jirani na hapo Songas. So kama mtunana nia ya kujenga na kuishi naeneo hayo sio mbaya akajiridhisha na hizi ear say.