Mamap_emir
New Member
- Jan 5, 2021
- 4
- 0
Yes hakijalingana kuna eneo niliongeza baada ya kununuaKina ukubwa wa Mita 45*35*25*10
Hujaeleweka hapa mkuu..
Kiwanja kina urefu na upana tu
Njoo tuyajenge boss wanguChukua 8m
Ndio maana nimeweka namba ukiwa serious nakutumia video unaona kila kituKama sio dalali sasa kwanini hujapiga picha ya neighborhood ili kujenga confidence kwamba hilo eneo tayari pameshaendelezwa?!Wengine huwa wanahofia kununua kiwanja sehemu ambayo haijaendelezwa (mbali na makazi).
Picha umeweka nyingi mpk zinachosha macho mkuu.
πππππ aiseeee.Mie lisaa lizima nazitazama tu mpaka nimechoka kutazama haiziishi mkuu...!
πππππ aiseeee.
Kitakuwa kimekaa kama sambusa!Kina ukubwa wa Mita 45*35*25*10
Hujaeleweka hapa mkuu..
Kiwanja kina urefu na upana tu