THOMASSILAA
Member
- Aug 24, 2022
- 9
- 5
Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI
(40 urefu kwa 22upana)
Sifa ya kiwanja
1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki
2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini. SHELI NA SOKO lipo hatua chache kutoka kiwanjani
3. Umeme na maji vimepita mpakani mwa kiwanja husika,haina haja ya kuongeza nguzo nyingine,/umeme upo
4. Usafiri wa bajaji na pikipiki pia gari ya kukatiza upo
5. Unaweza kutembea kwa mguu, kutoka Barabara ya lami mpaka nyumbani/kiwanjani. Almost dakika 5 mpaka 6 au 7
6. Utulivu na nyumba jirani zimejengwa kisasa zaidi
7. Kimepimwa kwa hatua za awali, mauziano yatafanyika kama inavyotakiwa na taratibu zote.
KWA MAWASILIANO YA KAWAIDA NA WHATSAPP UONE VIDEO YA ENEO MAANA HAPA IMEKATAA KUUPLOAD INA MB NYINGI. NAMBA 0686825838
View attachment 2667563