Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Bomba mbili

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Bomba mbili

hnp

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2020
Posts
276
Reaction score
474
Habari wana JF!

Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea).

Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla hujafika Gongo la Mboto), Dar Es Salaam . Kwa maelezo zaidi na alie serious kuinunua njoo pm.
IMG-20210520-WA0002.jpg
View attachment 1793910
 
Back
Top Bottom