dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Mkuu soma tangazo japo utaelewa na kama bado kiwango cha uelewa kiko chini nipigie cm nimeweka no ya cm hapo nikueleweshe zaidiUnauza Barabara au Kiwanja?
Ndio ivyo mkuu maisha tunatofautia sanaGoba Million 22 your joking....... kwa bei hiyo bora niende Madale uzunguni napata kiwanja safi sana nakaa natulia
Mkuu njoo upaone tutaongea tuMkuu iyo bei kubwa mno wakat huu ebu punguza kidogo
Mkuu njoo upaone tutaongea tu
Tabata inabidi uje hadi kawe halafu uchukue magari ya goba na unashukia njia Nne, au unaweza kupanda magari kinyerezi -mbezi na ukifika mbezi unapanda magari ya kawe,ila pia piga cm kwa maelezo zaidiNipande gar za wap natokea tabata ?
Unaenda kununua kiwanja huna hata bajaji, wakati ukianza ujenzi fundi mkuu anayesimamia nyumba yako unamkuta na bodaboda huku boss unaenda kwa miguuNipande gar za wap natokea tabata ?