1sqm 146,000 si mchezo. Hapo kwa Mkorea walikuwa wanauza 1sqm 45,000 nikaringa sasa hivi duh najuta mimi mzee wenu.Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa
🔥Kina ukubwa wa square metres 597
🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau.
🔥Kina hati ya wizara
🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa.
🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa na mmiliki
🔥BEI NI MILIONI 85
Ukihitaji kwenda kukiona nipigie ama ujumbe Whatsapp 0755963775