Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Mipeko

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Mipeko

Kipingu1991

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji

Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919

IMG_20220917_162937.jpg
 
Mandhari ya Mipeko ni ya kuvutia,Swali ni wapi ilipo Mipepo?
 
Ila mkoa wa pwani hasa ukiishi mkuranga,sijui wapi ina maana mkuu wa mkoa wako yupo kibaha,hapo yapasa ufike mbagala, mbagala to mbezi,mbezi to kibaha.
 
Back
Top Bottom