Kipingu1991
Member
- Jan 2, 2018
- 7
- 1
Mipeko ndiyo wapi mkuu?Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Ni ft au ni metre?Kiwanja cha (100ft×50ft) Ambacho ni sawa na (30m× 12m)= 360sq
Ujatoa details za kutosha
Huko panapoitwa Mipeko ni Mkoa gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mipeko nchi gani?Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Kwa Oysterbay hio ni bei nzuri sana.Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Ni wapi huko?Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Mpeko ni wapi?Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Mipeko ni sehemu gani mkuu? Mkoa gani?Nauza kiwanja changu ni viwanja 2 vya 50*40 vimeungana sawa na 100*40 kipo mipeko mbele ya kiwanja Kuna nguzo ya umeme na mpira wa kuunganisha maji
Bei 6000000 wasiliana nami kwa 0653057919View attachment 2363877
Dar es salaam,mbagala mbele huko unavuka kiwanja cha Azam chamanziMipeko ni sehwmu gani mkuu? Mkoa gani?
MkurangaMipeko ndiyo wapi mkuu?
Unafika mbande unapanda bajaji ,boda ni rahisi kufika na kipo sehemu nzuriNo wapi huko?
Mkoa wa pwani wilaya mkuragaKiwanja cha (100ft×50ft) Ambacho ni sawa na (30m× 12m)= 360sq
Ujatoa details za kutosha
Huko panapoitwa Mipeko ni Mkoa gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kaweka kwa futi me nkakitolea ufafanuz kwa meterNi ft au ni metre?
Kumbe ni mkoa wa pwaniUnafika mbande unapanda bajaji ,boda ni rahisi kufika na kipo sehemu nzuri
Sio big issue ndo jeografia ya mkoa wa pwaniIla mkoa wa pwani hasa ukiishi mkuranga,sijui wapi ina maana mkuu wa mkoa wako yupo kibaha,hapo yapasa ufike mbagala, mbagala to mbezi,mbezi to kibaha.