Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Bwagada

Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
31
Reaction score
41
Kiwanja kinauzwa Milioni 20 kwa ukubwa wa upana miguu 35 na urefu 40.,kipo kata ya meter chache kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa...,

Sio cha kuchimba na kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya familia au hata hotel.

Huduma za maji na umeme zipo karibu ya kiwanja.

Piga 0787804003 au 0715812003View attachment 2713319View attachment 2713320
 
Mkuu umekipima hiki kiwanja chako kwa vipimo vya meta? Kama jibu ni ndio, naomba hivyo vipimo ni ukubwa kiasi gani nataka nijue kiwanja kina square meters ngapi siwezi kukadiria kwa hatua za miguu tafadhali
 
Ok
 
Simu yangu ina changamoto kidgo ndo mana nmetuma hvyo...,kwa app niliyotumia imeonyesha vipimo hvyo
 
Simu yangu ina changamoto kidgo ndo mana nmetuma hvyo...,kwa app niliyotumia imeonyesha vipimo hvyoView attachment 2713361
Samahani mkuu nashindwa kung'amua chochote kutokana na picha hiyo.
Naomba uniambie, HICHO KIWANJA KINA MAPANA NA MAREFU YA MITA NGAPI/KIWANJA HICHO KINA UKUBWA WA SQUARE METERS NGAPI?
 
upana35 x urefu40=1400sqm
 
Mbona picha inaonyesha hayo maeneo kama yako nje ya mji au ofisi ya mkuu wa mkoa imejengwa nje ya mji wa Morogoro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…