Mkuu ulifika eneo lilipo kupima?upana35 x urefu40=1400sqm
hapana mkuu nimeunga hizo details zakeMkuu ulifika eneo lilipo kupima?
kwahiyo tatizo ni ufupi au vipimo? 😂😂Kabisa.
Akipime Kwa vipimo rasmi vya mita na siyo kuleta mambo ya hatua hapa.
Hiyo yenye bati la simba dumu. Halafu hiki kiwanja alikinunua laki tatu tu.Hiyo ofisi ya Mkuu wa Mkoa ndiyo iko wapi hapo!!