Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Pwani Mlandizi

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Pwani Mlandizi

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,598
Kipo pwani.mlandizi.ukubwa wa 20 kwa 20 .na cha ukubwa wa 30 kwa 20.bei milioni mbili na nusu kwa milioni tatu.umbali toka barabarani km 2.
Nipo mlandizi msufini karibia na sheli
Mawasiliano.0716992173
 
Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil?

Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali
 
Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil?

Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali
Tena apo ndo bei ndogo.Mlandizi karibia na bara bara kuu viwanja ghali.panakua kwa haraka
 
Back
Top Bottom