Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Nov 26, 2017 #1 Kipo pwani.mlandizi.ukubwa wa 20 kwa 20 .na cha ukubwa wa 30 kwa 20.bei milioni mbili na nusu kwa milioni tatu.umbali toka barabarani km 2. Nipo mlandizi msufini karibia na sheli Mawasiliano.0716992173
Kipo pwani.mlandizi.ukubwa wa 20 kwa 20 .na cha ukubwa wa 30 kwa 20.bei milioni mbili na nusu kwa milioni tatu.umbali toka barabarani km 2. Nipo mlandizi msufini karibia na sheli Mawasiliano.0716992173
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 668 Nov 26, 2017 #2 Kapicha kidogo
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Nov 30, 2017 Thread starter #3 mumak said: Kapicha kidogo Click to expand... Piga kwenye naomba hiyo utapata picha mkuu
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Nov 30, 2017 Thread starter #4 Karibu
G.Jacob JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,618 Reaction score 3,478 Nov 30, 2017 #5 Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil? Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali
Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil? Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Dec 2, 2017 Thread starter #6 G.Jacob said: Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil? Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali Click to expand... Tena apo ndo bei ndogo.Mlandizi karibia na bara bara kuu viwanja ghali.panakua kwa haraka
G.Jacob said: Duuuh kweli Ardhi imepanda bei...hadi mlandizi nako 20 kwa 20 ni 2.5mil? Mi nimenunua cha ukubwa huo hapa Kigamboni kwa bei kama hiyo tena kwa madalali Click to expand... Tena apo ndo bei ndogo.Mlandizi karibia na bara bara kuu viwanja ghali.panakua kwa haraka
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Dec 5, 2017 Thread starter #7 Bei maelewano tu