L lemal Member Joined Jun 10, 2012 Posts 55 Reaction score 8 Nov 16, 2014 #1 Kiwanja kinauzwa kipo Sombetini duka la Cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabarani kabisa bei maelewano. Ni-PM au tumia namba: 0762 982004
Kiwanja kinauzwa kipo Sombetini duka la Cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabarani kabisa bei maelewano. Ni-PM au tumia namba: 0762 982004
N NOSVELA Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 198 Reaction score 27 Nov 18, 2014 #2 lemal mkuu weka bei wadau tupo tujipime maana bei ndo itanifanya nonunue nlitaka cha moshono Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
L lemal Member Joined Jun 10, 2012 Posts 55 Reaction score 8 Nov 18, 2014 Thread starter #3 NOSVELA said: mkuu weka bei wadau tupo tujipime maana bei ndo itanifanya nonunue nlitaka cha moshono Click to expand... bei ni 65 milion maelewano yapo
NOSVELA said: mkuu weka bei wadau tupo tujipime maana bei ndo itanifanya nonunue nlitaka cha moshono Click to expand... bei ni 65 milion maelewano yapo
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 619 Nov 19, 2014 #4 lemal said: Kiwanja kinauzwa kipo sombetin duka la cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabaran kabisa bei maelewano .........ni PM au tumia 0762 982004 Click to expand... mkuu mnacheza na john pombe maghufuli? alishasema haturuhusiwi kucheza na hifadhi ya barabara
lemal said: Kiwanja kinauzwa kipo sombetin duka la cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabaran kabisa bei maelewano .........ni PM au tumia 0762 982004 Click to expand... mkuu mnacheza na john pombe maghufuli? alishasema haturuhusiwi kucheza na hifadhi ya barabara