Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum
kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanha ili viwanja vipimwe na kupewa hati,fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/= ambapo gharama hiyo itakatwa kwa muuzaji wa kiwanja
Bei Tzsh 3,700,000/=
Maelewano yapo
Mawasiliano 0765062114
Whatsap 0759399805
View attachment 1436272View attachment 1436273View attachment 1436274View attachment 1436276
Sent using
Jamii Forums mobile app