Wanatutania hawaMnaandika na kujijibu
yes, ukigawa nusu inakuwa ni 40*35.Hiyo bei kwa ukubwa huo ni very reasonable, kama eneo halina mgogoro wowote wala deni mahali, am sure utapata mteja soon, ila hiyo uliyoiita nusu (40*35) nadhani umekosea, inapaswa kuwa 40*70.
Hiyo uliyoandika ni Robo, ambayo inapaswa kuwa 15m kwa utaratibu huo!!
Kila la heri mkuu!
vitz ukinunua leo 5m after two years of depreciation unakuja kuiuza kwa 3.5m au 3m ila land after two years kama ulinunua 5m huwezi uza chini ya 8m.Ukiona mtu kajenga inabidi umheshimu.
Bei ya hiko kiwanja unanunua Vitz 12 mkononi.
Nahisi hadi baadhi yetu kuja kujielewa tutakuta watu wamejaza apts tu tutakua hatuna sehemu ya kununua na kujenga.
Hoja yangu ilikua "Ujenzi ni gharama"vitz ukinunua leo 5m after two years of depreciation unakuja kuiuza kwa 3.5m au 3m ila land after two years kama ulinunua 5m huwezi uza chini ya 8m.
kujenga tutajenga ila inategemea unataka kujenga wapi.
binafsi gharama ya ujenzi haiko juu sana kama gharama za viwanja (kwa baadhi ya maeneo) chanika ukiwa na 40m unanunua kiwanja, unajenga na unahamia na familia wakati sehemu zingine hiyo 40m hata kiwanja unaweza usipateHoja yangu ilikua "Ujenzi ni gharama"
Hata hivyo inamaanisha kua atakayenunua hiki kiwanja leo baada ya miaka miwili thamani yake itakua zaidi ya vitz 12 mkononi.
kama kuna mgogoro sidhan kama watu wagefikia hatua ya kujenga majumba ya kifahari/gharama.